Rais Erdoğan na Putin wazungumza kuhusu Libya

Rais Erdoğan azungumza na rais wa Urusi kuhusu mikakati  ya uhishimishwaji wa kufikia suluhisho la kisiasa katika mzozo wa Libya.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğana zungumza na rais wa Urusi Vladimir Putin kuhusui  utekelezwa wa kuifikia hatua ambazo malengo yake ni suluhisha la kisiasa katika mzozo wa Libya.

Kwa mujibu wa rais wa Uturuki suluhisho la kisiasa katika mzozo wa Libya ndio njia  pekee ya kufikia katika  amani ya kudumu.

Rais Erdoğan amezungumza na rais Putin  nje ya mkutano wa Berlin , mkutano ambao malengo yake ni kumaliza vita iliopo nchini Libya .

Kusitishwa kwa mapigano  nchini Libya ni moja ya hatu ambazo zitapeleka amani ya kudumu nchini humo.

Rais Erdoğan amesema kwamba Haftar anatakiwa kuachana na harakati za aina yeyote ambazo ni kizuizi kufikia katika malengo ya amani.

Ushirikiana katika  mzozo wa Libya, rais Erdoğan ameonesha matumaini kuwa mkutano wa Berlin nchini Ujerumani utatoa matunda.