RC Makonda ateuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda  ameteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba kama mshauri mkuu.