VIDEO: Dkt. Bashiru awapa makavu wanaotaka kugombea Udiwani na Ubunge kupitia CCM


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ameweka bayana kuwa wanachama wote wanaotarajia kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi Mkuu wana haki sawa, na hakuna mwanachama wa Mwenyekiti wala Katibu Mkuu kama ambavyo baadhi ya wanachama wanavyoanza kuwalaghai wajumbe wa vikao kuwa wametumwa na Mwenyekiti na Katibu Mkuu kugombea.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE