VIDEO: Mkandarasi atimka na milioni 108 za serikali, DC achefukwa ''asakwe poppote alipo aletwe hapa''


Mkuu wa wilaya ya Morogoro Regina Chonjo ametoa siku mbili  kukamatwa mkandarasi wa kampuni ya Fast Construction Limited ya jijini Dar es alaam anayetekeleza ujenzi wa mradi  wa kituo cha daladala  cha Kaloleni manipaa ya Morogoro baada ya mkandarasi huyo kushindwa  kukamilisha  matakwa ya mkataba licha ya  kuchukua milioni mia moja na nane lakini hadi sasa  ameshajenga kwa asilimia kumi na tano tuu huku zikisalia siku mbili akabidhi mradi kwa serikali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE