VIDEO: RC Gambo awapongeza Polisi walioua majambazi sugu watano


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amepongeza Kitendo cha Polisi Kuwauwa majambazi watano ambao walikuwa wanaharibu mkoa wa Arusha Huku akitoa pongezi kwa IGP Simon Sirro Pamoja na Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE