VIDEO: Seleman Jafo afunguka mengi uzinduzi wa shule ya sekondari mji mpya


Waziri jafo amesema hayo wakati wa ziara yake mkoani hapa ya kukagua miradi mbalimbali ya maendelea na kuweka jiwe la msingi katika shule ya sekondari mji mpya  ambapo amempongeza mkandarasi alisimamia ujenzi wa shule hiyo kwani ujenzi wake umeendana kasi ya serikali ya awamu ya tano na kuiteuwa shule hiyo kuwa shule ya mfano kati ya shule zote za kata nchini  huku  kuiomba  mikoa mingine kuiga mfano wa ujenzi wa majengo ya shule hiyo

TAZAMA FULL MOVIE HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE