Loading...

1/23/2020

VIDEO: Takukuru wanasa watumishi wa TRA kwa rushwa


Watumishi wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoani Dodoma wamefikishwa mahakkamani kwa kosa la kuomba rushwa ya shilingi milioni moja kwa mfanya biashara mmoja jijini Dodoma, baada ya kukamatwa kwa mzigo wake ambapo ulikuwa ukisafirishwa na kuwa na listi isiyo ya mzigo husika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAUA KUSUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger