https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Waziri Lugola amtaka Mkurugenzi wa NIDA kufika mbele yake | Muungwana BLOG

VIDEO: Waziri Lugola amtaka Mkurugenzi wa NIDA kufika mbele yake


Waziri wa Mambo ya Ndani,  Kangi Lugola amemwagiza Mkurugenzi Mkuu wa vitambulisho vya taifa NIDA na timu yake yote Jumatatu kufika mbele yake wakiwa na mpango kazi unaoonyesha uhalisia wa kumaliza tatizo la upatikanaji wa namba za utambulisho ifikapo Januari 18 kabla ya siku aliyoagiza Rais Magufuli.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE