https://monetag.com/?ref_id=TTIb Breaking News: Askari watatu wafariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa baada ya kupata ajali | Muungwana BLOG

Breaking News: Askari watatu wafariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa baada ya kupata ajali


Na Amiri kilagalila-Njombe

Askari watatu kati ya kumi na mbili wa jeshi la polisi mkoani Njombe waliokuwemo kwenye gari la polisi, wamefariki dunia katika ajali iliyotokea majira ya saa 12 asubuhi,baada ya kugongana kwa gari la polisi na basi la abiria kampuni ya Sharon lenye namba za usajili T349 CXB linalofanya safari zake Arusha-Njombe.


Alto Mtega mganga mfawidhi hospitali ya mji Njombe (Kibena) amethibitisha.


Endelea kufuatilia Muungwana blog