Breaking News: Aliyekuwa Katibu mkuu CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji ajiunga CCM


Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji ametangaza rasmi kuondoka CHADEMA na kuhamia CCM leo February 18, 2020 na kupokelewa na Humphrey Polepole katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba DSM.