SCHOLARSHIP FOR CLINICAL MEDICINE

Scholarship  for clinical medicine, ufadhiri wa masomo muhula wa mwezi march 2020.

Chuo chenye dhamana ya serikali kufundisha madaktari wenye weredi kwa kufuata mtaala wa nacte na wizara ya afya, St David College of Health Sciences kilichopo kimara temboni baada ya mabadiliko makubwa yaliyo chini ya uongozi na maelekezo ya nacte na wizara ya afya chuo kimekuja na msaada mkubwa kwa watanzania kwa kuweka udhamini kwa muhula huu. 

Fika moja kwa moja chuoni kimara temboni eneo la moa. ama piga simu 0683106869

Kumbuka yafuatayo:
intake ya mwezi march ni vyuo vya binafsi vyuo vya serikali havichukui mpaka septemba.hivyo nafasi ni yako kuchangamkia nafasi kabla hujachelewa.