https://monetag.com/?ref_id=TTIb Uingereza yateuwa balozi mwanamama mjini Washington kwa mara ya kwanza | Muungwana BLOG

Uingereza yateuwa balozi mwanamama mjini Washington kwa mara ya kwanza


Mara baada ya Kim Darroch,  aliyekuwa balozi wa Uingereza mjini Washington kuzungumza maneno kuhusiana na utawala wa  Rais Trump na maneno hayo kuvuja kwa wanahabari na kutokea mvutano wa kidiplomasia baina ya mataifa hayo mawili, balozi huyo alichukua uamuzi wa kujiuzulu.

Nafasi hiyo ya ubalozi wa kudumu katika Umoja wa Mataifa hivi sasa imechukuliwa na mwanamama mwenye cheo kifahamikacho kama “Dame” , Karen Pierce.

Pierce mwenye udhoefu mkubwa katika diplomasia anakuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa katika nafasi hiyo ya juu kabisa ya uwakilishi mjini Washington.

Son derece ''tecrübeli'' olduğu belirtilen Pierce, İngiltere'nin aynı zamanda Washington'daki ilk kadın büyükelçisi oldu.

Balozi aliepita wa Uingereza mjini Washington, Kim Darroch alilazimika kujiuzulu kufautia  moja ya nyaraka aliyoandika kuhusiana na utawala wa Trump akisema kwamba utawala huo “umekosa weledi” na “haufai” kuvuja kwa wanahabari.