VIDEO: Hamisi Kigwangala atoa neno kuondoa migogoro baina ya wananchi na hifadhi


Wakala wa huduma za misitu TFS Kanda ya Magharibi, Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori TAWA na Mamlaka ya hifadhi za taifa TANAPA wamepewa wiki mbili kuhakikisha wanaainamisha maeneo ya mipaka ya hifadhi za taifa zilipoanzishwa hivi karibu.

Kauli hiyo imetolewa na waziri  wa maliasili Dr Hamisi Kigwangala    baada ya kuwasili Mkoani  Tabora alipokuwa akizungumza na viongozi wa taasisi zilizo chini ya wizara yake huku akisisitiza kuanishwa kwa mipaka hiyo ili kuondoa migogoro baina yao na wananchi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE