VIDEO: James Mbatia aibuka na hoja sita nzito


MWENYEKITI wa chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa wananchi wote kwenda kujiandikisha katika daftari la wapiga kura ili waweze kushiriki haki yao ya kupiga kura na kumchagua kiongozi wanayemtaka.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE