VIDEO: Masauni nae atinga Takukuru kuhojiwa


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, naye amekuwa miongoni mwa viongozi walioitwa na TAKUKURU kwaajili ya kuhojiwa leo februari, 1 ameitikia wito na kufika katika ofisi za TAKUKURU, Jijini Dodoma kwa ajili ya mahojiano na Taasisi hiyo.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE