VIDEO: Wezi wa mabilioni ya benki ya NBC wakamatwa, Polisi waeleza a-z walivyowanasa


Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya G4S Security kwa tuhuma za wizi wa Tsh 1.280,000,000/=,USD402,000 na Euro 27,700.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE