https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Wiki ya sheria bangi, mirungi, na ubakaji vyaorodheshwa | Muungwana BLOG

VIDEO: Wiki ya sheria bangi, mirungi, na ubakaji vyaorodheshwa


Wakili mwandamizi wa serikali na mkuu wa mashtaka mkoa wa Manyara Mutalemwa Kishenyi, amesema makosa mengi zaidi kwa mko wa Manyara ni Ukatili kwa wanawake na watoto,ubakaji, kesi za Migogoro ya ardhi na madawa ya kulevya aina ya Bangi na Mirungi.

Amezungumza hayo wakati akihojiwa na Muungwana Blog kuhusu wiki ya sheria iliyoanza kuazimishwa Januari 1,2020 katika mji wa Babati mkoani Manyara

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE