Waziri wa ulinzi wa Uturuki, Mkuu wa majeshi la majenerali watembelea mpaka wa Syria


Waziri wa ulinzi wa Uturuki, Hulusi Akar, akiwa na mkuu wa majeshi Jenerali YaÅŸar Güler  pamoja na mkuu wa vikosi vya nchi kavu Jenerali Ãœmit Dündar  kwa pamoja wamekagua vikosi vya majeshi ya Uturuki vilivyopo mpakani mwa Syria.

Katika uwanja wa ndege wa Hatay walipokelewa na kamanda wa vikosi hivyo Sinan Yayla na viongozi wengine.  Akar na viongozi wengine wa jeshi wapo katika ukaguzi wa vikosi vya jeshi.