Loading...

3/26/2020

Mwanamke anayedaiwa kumuua msichana wa kazi afikishwa tena mahakamani


Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyakazi wa ndani, Mkami Shirima amefikishwa tena leo katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru lakini kesi hiyo imeahirishwa kwani upelelezi bado haujakamilika.

Mkami anadaiwa kumuua Salome Zacharia kwa madai ya kumuibia Shilingi 50,000.

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger