Rais Magufuli amtumbua balozi wa Tanzania nchini Ethiopia


Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia kutokana na matumizi mabaya ya fedha za umma.