https://monetag.com/?ref_id=TTIb Tanzia: Wakala wa mabasi amefariki dunia kwa kukanyagwa na basi | Muungwana BLOG

Tanzia: Wakala wa mabasi amefariki dunia kwa kukanyagwa na basi


Wakala wa mabasi ya kampuni ya Kisbo kutoka Mwanza na Dar, Athuman Omari amefariki dunia kwa kukanyagwa na basi alipojaribu kuruka likiwa kwenye mwendo katika eneo la stendi kuu ya mabasi mjini Shinyanga, polisi imethibitisha