https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Hadi huruma, mfanyabiashara azimia baada ya kushuhudia mali zikiteketea kwa moto soko la Arusha | Muungwana BLOG

VIDEO: Hadi huruma, mfanyabiashara azimia baada ya kushuhudia mali zikiteketea kwa moto soko la Arusha


Soko la wafanyabiashara wadogo wadogo la Samunge jijini Arusha limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Machi 29 ambapo mmoja ya wafanya biashara amezimia baada ya kushuhudia mali zake zikiteketea kwa moto.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE