VIDEO: Mbunge Chadema kutimkia NCCR Mageuzi akimaliza ubunge


Mbunge wa Moshi Vijijini(Chadema) Anthony Komu ametangaza kujivua uanachama kwa sababu ya kukatishwa tamaa na tuhuma za usaliti zinazoendelea kutolewa dhidi yake.

Hata hivyo Komu amesema ataondoka rasmi baada ya kumaliza muda wake wa ubunge kwa kuwa bado atahitaji ushirikiano wa chama hicho jimboni kabla ya muda wake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE