Loading...

3/22/2020

VIDEO: Shehena ya magari ya simenti yakwama yakielekea kwenye mradi wa umeme Rufiji


Mawasiliano kati ya wananchi wa kijiji  cha kipo na Mloka  wilayani  Rufiji  mkoani Pwani ambavyo ni  kitovu kikuu cha njia ya magari makubwa ya kusafirisha vifaa  kuelekea kwenye  mradi  wa umeme bwawa  la Mwalimu  Nyerere yamekosekana kwa zaidi  ya siku kumi sasa baada ya  barabara kuharibika vibaya kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchi nzima na kusababisha mafuriko ya mto Rufiji.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger