Loading...

3/26/2020

VIDEO: Waziri wa afya wa Zanz8ibar atolea ufafanuzi kufungwa mipaka dhidi ya CORORNA


Waziri wa Afya Visiwani Zanzibar Hamad Rashid ametolea ufafanuzi ni sababu gani ambazo zimepelekea kufunga mipaka kwa wageni kuingia visiwani humo kuwa ni baada ya nchi nyingine kufunga mipaka wegeni wengi wanaingia visiwani humo kuwa ni Jambo la hatari Katika kipindi hiki wanapambana kuzuia kuenea kwa virus vya Corona.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger