Loading...

3/27/2020

Watu 75 wafariki kwa virusi vya corona nchini Uturuki


Idadi ya watu ambao wamekwishafariki kutokana na virusi vvya corona yaendelea kuongezeka na kufikia watu 75.

Katika ujumbe uliotolewa na waziri wa afya Fahrettin Koca   kupitia ukurasa wake wa Twitter, watu 75 wamekwishafariki tangu kaunza kwake nchini China.

Koca metangaza vifo vya watu  16 waliokuwa wakipatiwa matibabu , vifo hivyo  vimepelekea idadi hiyo kuongezeka na kufikia watu 75.

Watu  3629 wamepimwa na kugunduliwa wakiwa na virusi hivyo.

Katika muda wa masaa  24, watu  7286 wamefanyiwa vipimo.

Fahrettin Koca amewatolea wito raia kuzingatia  hatua zilichukuliwa katika kukabiliana na virusi.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger