https://monetag.com/?ref_id=TTIb Mama mzazi wa kocha wa Manchester City afariki kwa ugonjwa wa corona | Muungwana BLOG

Mama mzazi wa kocha wa Manchester City afariki kwa ugonjwa wa corona

Klabu ya Manchester City, kupitia ukurasa wake wa Twita, imetangaza kifo cha mama mzazi wa kocha wao, Pep Guardiola, Dolors Sala Carrio, ambaye amefariki leo kwa ugonjwa wa virusi vya Corona akiwa na umri wa miaka 82.