https://monetag.com/?ref_id=TTIb Breaking: Mtu mwingine akutwa na virusi vya corona Tanzania | Muungwana BLOG

Breaking: Mtu mwingine akutwa na virusi vya corona Tanzania

Wizara ya Afya Tanzania leo Aprili Mosi imetangaza mtu 1 mpya wenye maambukizi ya virusi vya corona na jumla sasa wamefikia 20. Wizara hiyo imesema tayari wagonjwa watatu wameshapona.