Rais Magufuli ashtushwa na kifo cha Marin Hassan


Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amepokea kwa masikitiko kifo cha mtangazaji maarufu wa Television ya Taifa TBC Marin Hassan Marin kilichotokea leo asubuhi jijini Dar es Salaam