https://monetag.com/?ref_id=TTIb Jokate azindua zoezi la ugawaji pedi | Muungwana BLOG

Jokate azindua zoezi la ugawaji pedi


“Jana nimezindua rasmi zoezi la kugawa taulo za kike (pedi) majumbani kwa wanafunzi wetu wa kike waliopo majumbani kipindi hiki ambacho shule zimefungwa, nilitembelea wasichana wa vijiji vya Palaka, Kitonga na Marumbo” - DC Kisarawe, Jokate Mwegelo