https://monetag.com/?ref_id=TTIb Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo | Muungwana BLOG

Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea tena leo kwa michezo mbali mbali ambapo mchezo mmoja unatarajiwa kuchezwa majira ya saa moja usiku huu kati ya Yanga dhidi ya Namungo FC utakaopigwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

Na haya ndio matokeo ya michezo ilikwissha kuchezeka;

FT: Mbeya City 0-2 Simba SC

FT: Kagera Sugar 1-0 Azam FC

FT: Alliance FC 1-1 Polisi Tanzania (Martine Kiggi 51’ | Pius Buswita 80') .

FT: Biashara United 4-0 KMC FC