Loading...

6/24/2020

VIDEO: Rais Magufuli ampongeza bilionea mpya wa madini "Najua unakwenda kutafuta Mwanamke mwingine"

Rais Magufuli amempigia simu Waziri Biteko wakati Serikali ikikabidhiwa madini ya Tanzanite yenye thamani ya Tsh. Bilioni 7.8 iliyoyanunua kwa mchimbaji mdogo Saniniu Laizer

”Hongera Laizer, najua unakwenda kutafuta Mwanamke mwingine, ukatafute Mke wa Kisukuma”

“Nampongeza Laizer, hii ndio faida ya Wachimbaji wadogo, inadhihirisha Watanzania ni Matajiri, Tanzanite haipatikani pengine, nakupongeza Waziri wa Madini, Wizara ya Fedha, Gavana,Viongozi wa Manyara, Kilimanjaro, Arusha na Wananchi wa Simanjiro, hongera Wizara kwa kuamua kuinunua”-JPM

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE 
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger