https://monetag.com/?ref_id=TTIb TAKUKURU makao makuu inamshikilia afisa wa Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na watumishi wanne wa NEMC | Muungwana BLOG

TAKUKURU makao makuu inamshikilia afisa wa Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na watumishi wanne wa NEMC

TAKUKURU makao makuu inamshikilia afisa wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Eliud Kijalo kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya Shilingi bilioni nne. Pia inawashikilia watumishi wanne wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira  kwa tuhuma mbalimbali za rushwa.