https://monetag.com/?ref_id=TTIb Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya barakoa kwa wanafunzi | Muungwana BLOG

Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya barakoa kwa wanafunzi


Wakati shule za Msingi na Sekondari zikifunguliwa leo, wizara ya Afya ilitoa ufafanuzi kuhusu uvaaji na matumizi ya barakoa kwa wanafunzi
.
"Wanafunzi waliochini ya miaka nane na wote wenye matatizo ya kiafya ikiwemo Pumu, matatizo ya moyo na Selimundu wametakiwa kutotumia kabisa barakoa.

Pia wenye matatizo ya figo, Kisukari, Shinikizo la damu na walio na unene mkubwa kuvaa barakoa huku wakiwa katika uangalizi wa karibu

Wanafunzi wasivae barakoa wakati wa michezo na pale wanapofanya mazoezi ikiwemo wanapokimbia mchakamchaka