Jul 2, 2020

BREAKING NEWS: Tume ya uchaguzi yafuta majimbo manne ZanzibarMwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid,  amesema kuwa tume hiyo imefuta majimbo manne ya uchaguzi Zanzibar na kubakiza majimbo 50 badala ya majimbo 54 yaliokuwepo awali. Majimbo 32 yatakuwa Unguja na majimbo 18 yatakuwa Pemba
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger