Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck afunguka kuhusu maandalizi ya fainali ASFC

“Jambo muhimu ni kujiandaa kiakili kucheza kwenye uwanja wa kawaida” – Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck asema maandalizi ya fainali ASFC yanakwenda sawasawa na lengo lao ni kushinda mataji mawili msimu huu.