https://monetag.com/?ref_id=TTIb Mabasi matatu ya Abood yagongana eneo la Bwawani | Muungwana BLOG

Mabasi matatu ya Abood yagongana eneo la Bwawani

Basi 3 za kampuni ya ABOOD zinazofanya Safari zake kutoka mikoa ya morogoro , zimegonganga zenyewe kwa kile kinachoelezwa kuwa ni madereva wa mabasi hayo kushindana kwa 'speed' barabarani.

Ajali hiyo imetokea maeneo ya Bwawani , na bado hakuna taarifa rasmi juu ya majeruhi au vifo vyovyote.