Tufanye siasa za ustaharabu- Lipumba


“Tunaingia kwenye uwanja wa siasa wa kufanya kampeni kutafuta Chama kitakachoongoza Nchi, tufanye kampeni za kistaarabu, tuwape fursa wananchi kuchagua wanayemtaka, CUF tunakuja na ajenda ya furaha kwa Mtanzania inawezekana” -Prof. Lipumba mbele ya JPM kwenye Mkutano Mkuu CCM Dodoma leo