Waziri mkuu wa Uingereza azungumza na Kansela wa Ujerumani

Boris Johnson, waziri mkuu wa Uingereza azungumza na  kansela wa Ujerumani Angela Merkel.

Waziri  mkuu wa Uingereza Boris Johnson azungumza na kansela wa Ujerumani Bi Angela Maerkel  kuhusu masuala tofauti ikiwemo mapambano dhidi ya virusi vya corona na    Brexit, baada  na kabla.

Uturuki imeonesha ushirikiano na mataifa washirika katika kipindi hiki kigumu cha kupamabana na maambukizi ya virusi vya corona.

Uingereza ni moja ya mataifa ambayo Uturuki imeonesha ushirikiano.

Katika mzungumzo hayo , waziri mkuu wa Uingereza na Kansela wa Ujerumani  wamejadili kuhusu hali iliopo nchini Libya.

Katika mazungumzo yao, viongozi hao wamezungumza kuhusu umuhimu wa ushirikiano katika  kupamabana na maambukizi ya virusi vya corona kwa kuwa  mataifa hayo mawili pia nai waathirika wa Covid-19.

Mazungumzo haraka yanatarajiwa  ili kuimarisha ushirikiano baada ya Uingereza kujiondoa Brexit.

Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel  amezungumzia Israel  kuendelea kuhujuma ardhi za wapalestina na kuahidi  kuongeza juhudi katika kutafuta suluhu la mzozo ambao unaendelea nchini Libya.