Breaking News: Rais Magufuli afanya uteuzi huu

Rais Magufuli amemteua Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala,DSM  akichukua nafasi ya Mussa Chogelo ambaye amepangiwa kazi maalum katika Ofisi ya Rais, kabla ya uteuzi huo Ndwata alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni.