VIDEO: DC Jokate aahidi kushirikiana na waislam ujenzi wa msikiti wa kisasa Kisarawe

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani Jokate Mwegelo amewahakikishia waumini wa dini ya Kiislaam wilayani hapo kwamba watashirikiana bega kwa bega kujenga msikiti mkubwa wa kisasa wa ghorofa mbili.

 

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

 

Post a Comment

0 Comments