PICHA: Bernard Membe na Maalim Seif walivyopokelewa Zanzibar

 Hivi ndivyo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia  ACT Wazalendo, Bernard Membe  pamoja na Mgombea Urais Zanzibar Maaalim Seif Sharif Hamad wakiongozwa na Kiongozi wa Chama hicho, Zitto Kabwe  na Viongozi wengine walivyopokelewa Zanzibar leo.