WCB tuna utaratibu wa msanii anayetaka kujitoa kuweza kununua haki zake- Sallam sk

 

Meneja wa msanii Daimond Platinum, Sallam SK amefunuka kupitia kipindi cha REFRESH Kinachoruka wasafi tv ametoa ‘option’ kwa msanii yoyote anaetaka Kujitoa katika Lebo, kununua haki zake ikiwemo Channel ya YouTube , Account za Mitandao ya kijamii Pamoja na Umiliki wa Nyimbo ambazo amekua akizitoa kwa muda wote tangu alipopewa Mkataba

Post a Comment

0 Comments