Yacoube Sogne asajiliwa rasmi yanga

 

YACOUBA Sogne, raia wa Burkina Faso amemalizana na Yanga kwa ajili ya kutumikia kikosi hicho kilicho kwenye maboresho kwa ajili ya msimu wa 2020/21.

Nyota huyo ambaye alikuwa anakipiga Asente Kotoko ya Ghana amesaini dili la miaka miwili.

Sogne amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi cha Yanga ambacho anaamini ni njia yake ya kufikia mafanikio.

Post a Comment

0 Comments