Tutakayo zungumza ni pamoja na kuimarisha Uwekezaji na Biashara kati ya Burundi na Tanzania- JPM


 “Burundi mizigo yake yote na bidhaa zake kwa 95% inasafirishwa kupitia Bandari ya DSM, leo tutakayozungumza ni pamoja na kuimarisha Uwekezaji na Biashara kati ya Burundi na Tanzania, tunataka biashara iwe kubwa” Rais MAGUFULI

“Upande wa Madini, leo nitazungumza na Rais Ndayishimiye kuhusu kuruhusu Madini ya Burundi kama dhahabu n.k yawe yanakuja kuuziwa hapa Kigoma, bahati nzuri sisi tumeshafungua Maduka ya Madini, tutazungumza nao waje kuuzia hapa” Rais MAGUFULI

Post a Comment

0 Comments