Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwa michezo mbali mbali na haya ndio matokeo ya michezo hiyo;

Full Time 

Dodoma Jiji FC 0-1 Tanzania  Prisons FC 

Simba SC 0-1 Ruvu Shooting FC 

Mtibwa Sugar 1-0 Azam FC



 

Post a Comment

0 Comments