Simba yachezea kichapo tena

Mabingwa watetezi Simba wanapoteza mchezo wa pili mfululizo katika dimba la uhuru jijini Dar es Salaam kwa kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Ruvu Shooting.

Goli la Ruvu Shooting lilifungwa na Fully Zullu Maganga dakika ya 36.

FT: Simba 0-1 Ruvu Shooting. 

 

Post a Comment

0 Comments