https://monetag.com/?ref_id=TTIb Spika Ndugai kuwaapisha Polepole, Lulinda leo | Muungwana BLOG

Spika Ndugai kuwaapisha Polepole, Lulinda leo

 


Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Jumatatu, Novemba 30, saa 9.00 alasiri atawaapisha wabunge wateule, Humphrey Polepole na Riziki Lulinda katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

Polepole na Lulinda waliteuliwa Jana na Rais Dk.John Magufuli kuwa wabunge ikiwa ni sehemu ya nafasi 10 alizonazo rais kwa mujibu wa Katiba.

Post a Comment

0 Comments