https://monetag.com/?ref_id=TTIb Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Mrundi Said Ntibazonkiza atua nchini usiku | Muungwana BLOG

Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Mrundi Said Ntibazonkiza atua nchini usiku

 

SAID Ntibanzokiza mshambuliaji mpya ndani ya kikosi cha Yanga, amewasili leo Bongo Desemba 2 rasmi kujiunga na Yanga baada ya kusaini dili la miaka miwili.

Nyota huyo amepokelewa na uongozi wa Yanga ikiwa ni pamoja na wadhamini wake Kampuni ya GSM kupitia Injinia Hersi Said pamoja na Ofisa Uhamasishaji,  Antonio Nugaz.

Post a Comment

0 Comments