https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Viongozi kamati ya amani Rukwa wampa ujumbe RC kwenda kwa Rais Magufuli | Muungwana BLOG

VIDEO: Viongozi kamati ya amani Rukwa wampa ujumbe RC kwenda kwa Rais Magufuli


Mwenyekiti wa Kamati ya Amani Mkoani Rukwa Askofu Ambele Mwaipopo wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Mikoa ya Rukwa na Katavi amemuomba Mkuu wa Mkoa huo Mh. Joachim Wangabo kufikisha salamu za pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kupita kwa kishindo katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 pamoja na kuiongoza vuzuri nchi ya Tanzania.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE  

Post a Comment

0 Comments